Hakuna sikukuu ya kikristo yenye ushaidi wa kimaandikoo....na kama ipo fungukeni kwa vifungu vya biblia.....sio polojo za mapokeo.
katika.kitabu cha Mithali 23:23 tunasoma hivi Inunue kweli wala usiiuze.... Na Yesu pia akasema hivi mtaifahamu kweli, nayo itawaweka huru.
mtalalama sana ila habari ndio hiyoKumbe yesu ni bwana wako...kwaiyo na wewe umepakwa mafuta?
mtalalama sana ila habari ndio hiyo
wa kwenu hajafufuka kwa hiyo lazima muanzishe
ligi hahahaaaaa haloooooo,mnalo hilooooo!!
bwana wetu sote pamoja na weweKwaiyo ni bwana wako....
bwana wetu sote pamoja na wewe
sana tu,we utajijuuuuuu!!Mm simo bana.....bwana wako mwenyewe...vp na mafuta umepakwa?
passover ninja....
Fumbo mfumbie MJINGA, mwerevu ataling'amua......
Lakini hiyo passover ilisherehekewa hata na Yesu mwenyewe kwa taratibu zao za kidini kwa wakati huo, na mpaka leo wayahudi na dini zao wanaisherehekea.passover ndyo sahihi.ester imechakachuliwa na waroma.ester ilikuwa sherehe ya kipagani na ilikuwepo kabla ya kristo,,,mengne watakuja wajuzi watafafanua.niko busy kidogo
Passover ilikua ya Musa na wayahudi wa enzi izo ikiwakilisha pasaka ya kondoo aliyechinjwa usiku wa ukombozi wao kule Misri siku ya pigo la kumi.
Easter inawakilisha kufufuka kwa YESU, japo passover ni kivuli cha Easter, ila kwetu wakristo wa sasa ina maana nzito sana na ndio siku kubwa kuliko zote zilizowahi kutokea katika ulimwengu wa kikristo