Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Ukristu upo ktk imani inayotegemea nia ya tendo fulani. Kwa kuwa nia ni kusherehekea ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristu, basi bila ya kujali jina la sikukuu, imani itatuponya!
 
wanasherekea siku ya kufufuka na sio kufa kama unavyofikiria

Kitendo Cha kwanza kilikuwa ni kifo!
Mbona hicho hamna siku yake ya kuhuzunika!?
Au nyie hamjali kufa kwake! Mnachojali ni kule kufufuka tu!
 

Understood
 
PassOVER=PITA JUU YA....
Old Testament observation 2 remember the Angel of Death who killed the 1st born sons whose door-posts were without blood.We in the New Testament church are not to celebrate passover since Christ is our Passover Lamb 1 Cor.5:7.

About Easter,I'm not sure since I don't celebrate. . . . reason?that's another story to tell. . . .
 

And give us that story... Kwanini bado unasherekea passover ya misri ihali Yesu ni pasaka mpya...
 
And give us that story... Kwanini bado unasherekea passover ya misri ihali Yesu ni pasaka mpya...

We ulikuwa hujui kuwa hii pasaka ni sherehe ilio igwa kutoka kwa Wapagani!?

Hakuna ushahidi hata mmoja unaosema yesu alifufuka tarehe 20/4!
Ispokuwa jamaa wamechakachua tu!
 
We ulikuwa hujui kuwa hii pasaka ni sherehe ilio igwa kutoka kwa Wapagani!?

Hakuna ushahidi hata mmoja unaosema yesu alifufuka tarehe 20/4!
Ispokuwa jamaa wamechakachua tu!

Napenda wanaosherekea pasaka waje hapa wathibitishe Yesu aliuawa mwezi huu na tarehe hizi. Wasipothibitisha basi hayo ni mafundisho ya kipagani kutoka kwa mfalme constantino wa rumi.
 
We ulikuwa hujui kuwa hii pasaka ni sherehe ilio igwa kutoka kwa Wapagani!?

Hakuna ushahidi hata mmoja unaosema yesu alifufuka tarehe 20/4!
Ispokuwa jamaa wamechakachua tu!

Kwani nani kakuambia pasaka inasherekewa kila 20/4 na naomba uniambie Wayahudi wanasherekea Passover yao mwezi wa ngapi? Thanks.
 
Napenda wanaosherekea pasaka waje hapa wathibitishe Yesu aliuawa mwezi huu na tarehe hizi. Wasipothibitisha basi hayo ni mafundisho ya kipagani kutoka kwa mfalme constantino wa rumi.

Naomba uniambie majira ya Passover kwa Wayahudi ni miezi gani na huwa wanasherekea mara ngapi kwa mwaka?
 
Hivi inakuwaje siku kafa mungu wetu wa kikristo iitwe Good Friday!??

Jamani mnazidi kunichanganya!

Uvivu wako wa kusoma ndiyo tatizo lako. Kila kitu kimeandikwa GO and Research usiwe kilaza kutafuniwa kila kitu. Hata uko uislam unakotaka kwenda utaama vile vile. Tatizo siyo kuchanganyikiwa tatizo YOU ARE TOO LAZY.

Nakusubiri kwako kila kitu uletewe utaishia kuwa maskini wa fikra mpaka siku ya mwisho wa hii dunia.
 
passover ndyo sahihi.ester imechakachuliwa na waroma.ester ilikuwa sherehe ya kipagani na ilikuwepo kabla ya kristo,,,mengne watakuja wajuzi watafafanua.niko busy kidogo

Kweli ester imechakuliwa na Waroma, ila EASTER ndiyo sahihi. Umepatia kabisa well done for a wonderful thinking, ilikuwepo kabla ya Kristo na ni sherehe ya kipagani.

Uko busy kula pilau au? Unajua wewe ni one of the Great thinkers inchi hii lazima ijivunie kwa uwepo wako duniani hususani kwenye nchi kama yetu Tanzania.

Well done, Good thinking and contribution.:clap2:
 

Hawakuchakachua ni utaratibu tu wa kanisa wala si amri ya Mungu.Kama vile mtu anavoenda msibani na
Kuamua kuvaa nguo nyeusi.
 

Sasa hapa sijui nani mbulula au kilaza!
Hapa kuna nini cha kuchunguza!

Au ulitaka nikuchunguzie kuwa pasaka ni sikukuu ya wapagani!
Hilo mbona liko wazi tu!

Swali linabaki palepale! Inakuwaje mungu yesu aweke siku yake ya kufufuka sawa na muuwaji wa wafuasi wake!??
 
Kwa miaka takribani miwili na miezi kadhaa tangu nianze kuifatilia JF's posts na jinsi watu wanavyochangia kwa kweli imeniwezesha kwa kiwango kikubwa kujua viwango vya Watanzania wengi kwenye swala la kufikiri na kufanyia uchambuzi mambo.

Inahudhunisha sana, sijui wanafanya makusudi au! na ninaomba kila siku iwe ni makusudi vivyo hivyo na siyo ukweli halisi wa uwezo wetu wa kufikiri. Sababu kama ni kweli hii michango ndiyo ukweli halisi wa uwezo wetu wa kufikiri basi tunashida sana huko mbeleni(miaka ijayo.

I have not seen much evidence of visionary society here to me. We like to respond and contribute to anything topical than set up debates on long term issues that carry out the vision for our nation.

It's very sad kuona uwezo wetu wa kufikiri unapungua siku hadi siku zinavyosogea mbele.
 

Hushrekei kwakuwa wewe ni masalia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…