Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

Pasover ni sikukuu ya zamani zaidi ya Wayahudi, imeadhimishwa miaka mingi kabla ya kuzaliwa kwa Yesu, Easter, sikukuu ya kuadhimisha kufufuka kwa Yesu, imeenda kuwa superimposed kwenye passover.
 

Well clarified...Big up
 
Sawasawa na Kutoka12. MUNGU ALIIWEKA SIKU ILE AMBAYO WAISRAELI WAlLIKOMBOLEWA KUTOKA MISRI Kuwa ukumbukwa kwa amri ya milele. Siku hiyo iliitwa pasaka/passover na katika agano jipya Yesu akiwa mwana kondoo aondoaye dhambi za dunia akakamatwa hiyo siku ya passover na kuwawa. Hivyo Easter is just an english name ambayo pia ina maana ya passover.
 
wasabato wanaamini ni passover hao wengineo ni easter tofauti yake hapo inabidi umpate mkristo asie na mlengo wowote ndo aweze kukutafsiria
 
Good friday kwa sababu ndo ilikuwa mwanzo wa Ukombozi kwetu sisi Wakristu
Mkuu imeandikwa wapi? Au fungu lipi kwenye biblia? Passover iliazimishwa kabla ya Yesu na yy mwenyewe alihudulia.huu mzim wa ckukuu n wa kipagan na n kwa ajri ya kuendeleza upagani...leo pita kwenye kumbi za starehe na baa utajua huu mzim unavotesa watu....
 

Kwasasa tuna Sabato Masalia na Matengenezo........Ipo njiani inakuja Sabato Marekebisho baada ya kuona Kanisa la Hellen G White linaanza kuwaingiza wanawake wawe Wachungaji...

Stay tuned......
 
We ulikuwa hujui kuwa hii pasaka ni sherehe ilio igwa kutoka kwa Wapagani!?

Hakuna ushahidi hata mmoja unaosema yesu alifufuka tarehe 20/4!
Ispokuwa jamaa wamechakachua tu!

Ndugu,
Leo nilikuwa kanisani kusherehekea pasaka. Sina ushahidi wowote kwamba Yesu alifufuka tar kama ya leo.
Uhakika nilionao ni kwamba Yesu alifufuka, ameshinda kifo na mauti,nguvu ya kaburi haikumshinda, YU HAI milele hata milele.
 
Hivi inakuwaje siku kafa mungu wetu wa kikristo iitwe Good Friday!??

Jamani mnazidi kunichanganya!

Kama kweli wewe ni mkristo, kamuulize swali hilo mchungaji au padri wako watakusaidia.

Kama sio mwamini Yesu leo kisha nenda kwenye kanisa linalohubiri habari za Yesu Kristo aliye hai watakufahamisha habari za huyu Yesu mfufuka.
 
.com
Mambo yakiendelea hivi na mimi nahamia kwa waislamu.

Ndugu yangu Kristo yu hai leo na hata milele. Hatuhitaji kujua alifufuka tarehe ngapi, saa ngapi na dakika ngapi. Mambo ya majira, saa na nyakati ni yetu wanadamu, hayamfungi Mungu. Ninachojua YESU YU HAI. HE IS RISEN AND HE LIVES FOREVER MORE.
 

You do not have a valid question, unachofanya wewe ni dhihaka na sina muda wa ku-debate na ignorant. Have a life and do good for yourself and your country, I think that is the most important thing for you right now.

Ciao
 
You do not have a valid question, unachofanya wewe ni dhihaka na sina muda wa ku-debate na ignorant. Have a life and do good for yourself and your country, I think that is the most important thing for you right now.

Ciao

If I may ask! MR smart pants!

The one who believes that GOD was born by a WOMAN and he was bitten up by the human he created and DIED! And GOD is three in one!:sly::sly:


And the one who Believes that GOD IS ONE! HE NEVER DIE! NEVER BORN! HE WAS HERE BEFORE ANYTHING!
AND HE WILL NEVER EVER DIE!

Who is ignorant!?

answer that! Capoun!
 


I do not even know why I am replying this.

I might be Mr Smart Pants Yes!!

But you are full nonsense absolute Yes!!

After made two paragraphs of comments then you ask me to answer a question, So who is a Mr SMART PANTS Now.

Do your homework before you jump on issues before knowing whether you made a comment or asking a question DUMB!!!.

Do not bother to reply this comment cause I have got no time for you.

Ciao for good!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…