Wadau msaada tafadhali.Hivi tarehe yasiku ya pasaka hupangwaje, na nani? Hatimaye kukubalikana wakristu wote duniani bila kujali dhehebu?
=========Wadau msaada tafadhali.Hivi tarehe yasiku ya pasaka hupangwaje, na nani? Hatimaye kukubalikana wakristu wote duniani bila kujali dhehebu?
Set by the Catholic church.
Wadau msaada tafadhali.Hivi tarehe yasiku ya pasaka hupangwaje, na nani? Hatimaye kukubalikana wakristu wote duniani bila kujali dhehebu?
wakistro n watu wenye akili timamu
nimefunguka mkuu=========
Asante ndugu kwa kuuliza,kwani Kuuliza si Ujinga!!
Ukumbbuke kuwa, PASAKA ni sherehe pekee duniani inayoadhimishwa kipindi kimoja/hicho hicho na imani 2 za dini kongwe duniani: UYAHUDI (Judaism) na UKRISTO.
Sasa, kwa kuwa PASAKA ni adhimisho la UHURU wa Waisraeli kutoka utumwani Misri zaidi ya miaka 6,000 iliyopita, basi Mungu aliwaambia Waisraeli (Wayahudi) waadhimishe siku hii kila mwaka.
Mwaka huu 2014, Pasaka kwa Wayahudi imesherehekewa Jumatatu na Jumanne (Tarehe 14 na 15 April). Kalenda yetu hii (Gregorian Calendar) hufanyiwa mahesabu ili kuoanisha na Kalenda ya Kiyahudi kujua Pasaka otakuwa lini. Ina maana kuwa,tarehe zile ambazo Pasaka ya Kiyahudi itaadhimishwa, ndizo tarehe ambazo Kalenda ya Pasaka kwa Wakristo inapaswa kuonesha Jumapili ya karibu ili PASAKA iadhimishwe kwa Wakristo.
NB: Kwa Wakristo Paska sharti iangukie siku ya Jumapili kwani ndiyo siku Yesu Kristo alifufuka toka kwa wafu kwa kipindi kile cha kuadhimisha Pasaka miaka ile. Yesu yu hai leo hii, milele na milele zote. Kwa Wayahudi, Kalenda yao haifuati Jua bali ni Mwezi, na hivyo Pasaka yao yaweza angukia siku yoyote ile. In short, Pasaka ya Wakrito lazima iongozwe na ratiba ya Kiyahudi kuhusiana na Pasaka.
Are you sure. Give the source....
=========

Good morning to all,
naomba nisaidiwa katika hii topic nime post hapo juu. nini maana ya pasaka or passover/ nini maana ya esthern monday and Good friday? hizi siku zinanichanganya. je yesu aliposulubiwa msalabani kuna sehemu kwenye biblia tunaambiwa tushereheke Good friday/ easthern Monday? kama ndio naomba muongozo kwenye biblia. pili niliposoma biblia nipata kujua kumbe mungu ndio alikuwa wa kwanza kuambia wana wa israel washerehekee pasaka na iwe kumbu kumbu katika maisha yao baada ya yeye MUNGU kuua wana wakwaza wa misri. tatu yesu alisherehekea pasaka na wanafunzi wake baada ya kuwanawisha miguu. kwa nini sisi wakristo tusheherekee sikukuu ya kufa kwake kama pasaka? amani ya bwana iwe pamoja nanyi mnapo changia hii topic mbarikiwe sana tena sana.
angalia muongozo wa Kanisa unasemaje?,kama Kanisa linaruhusu watu washerehekee wanavosherehekea basi hapo basi unaweza kusema kituhapana hapo utakuwa unamsingizia mungu, haiwezekani ukasema kuwa mungu amazibariki. nafikiri wewe kama wewe unaona jinsi watu wanavyo sherehekea, je ndivyo mungu anataka iwe hivyo?
Shalom!
Kwanza lazima ujue nn maana ya pasaka? Pasaka ni sadaka ndugu yangu. Mimi huwa ninapenda kujifunza so huwa napenda kusikiliza mahubiri ya mwl. Mwakasege na Mgisa mtebe ninakushauri utafute mafundisho yao hasa ya mwl mwakasege katika mafundisho ya matoleo alifundisha biafra miaka kadhaa iliyopita itakusaidia. Nakwa mengine endelea kumfuatili kila j.5 saa tatu usiku redio wapo, na kila alhamisi muda na wakati huohuo msikilize Mgisa Mtebe. Naamini utajifunza mengi.