PASAKA hela hakuna kabisa

PASAKA hela hakuna kabisa

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Leo ni Ijumaa kuu. Bado siku 2 ifike Pasaka. Ni sikukuu kubwa sana duniani hasa kwa wakristo.

Kuna weekend ndefu Ijumaa mpk Jumanne. Lakini pesa hakuna. Tumejibanza majumbani kama Pimbi.
 
Mnasahau wikiendi ndefu mnaenda kusaini jumanne na kurudi kuendelea na wikiendi ya Karume day, kazi rasmi mpaka alhamisi.

Pasaka hii nipeni kazi ya kupiga picha kwenye sherehe zenu.
 
Ukitoka ibadani tumia muda huo kuongea na watoto wako maana muda mwingi haupo nao KARIBU.kwa wale wa mashambani tutautumia kutembelea mashamba yetu na kukagua hasaaa
 
Leo ni Ijumaa kuu. Bado siku 2 ifike Pasaka. Ni sikukuu kubwa sana duniani hasa kwa wakristo.

Kuna weekend ndefu Ijumaa mpk Jumanne. Lakini pesa hakuna. Tumejibanza majumbani kama Pimbi.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nilijua ni hapa nilipo kumbe hadi huko wembe ni ule ule.
Mh!
 
Back
Top Bottom