Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Naona unafosi kukopwa au wew huoni huu upepoMnasahau wikiendi ndefu mnaenda kusaini jumanne na kurudi kuendelea na wikiendi ya Karume day, kazi rasmi mpaka alhamisi.
Pasaka hii nipeni kazi ya kupiga picha kwenye sherehe zenu.
Mkopo hauna shida mkuu bora upate kumbukumbu ya maisha kupitia picha.Naona unafosi kukopwa au wew huoni huu upepo
Unaongelea kumbukumbu gani wewe?Mkopo hauna shida mkuu bora upate kumbukumbu ya maisha kupitia picha.
KARIBU.
Tulia nyumbani tuko kwenye maombolezo!Leo ni Ijumaa kuu. Bado siku 2 ifike Pasaka. Ni sikukuu kubwa sana duniani hasa kwa wakristo.
Kuna weekend ndefu Ijumaa mpk Jumanne. Lakini pesa hakuna. Tumejibanza majumbani kama Pimbi.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nilijua ni hapa nilipo kumbe hadi huko wembe ni ule ule.Leo ni Ijumaa kuu. Bado siku 2 ifike Pasaka. Ni sikukuu kubwa sana duniani hasa kwa wakristo.
Kuna weekend ndefu Ijumaa mpk Jumanne. Lakini pesa hakuna. Tumejibanza majumbani kama Pimbi.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Haaaahaaaaa [emoji1787][emoji1787]Daaa kuna kila dalili ya kuangalia season na mke wangu kutwa nzima, pumbavu kabisa