Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Tokea juz nmekua napigiwa sim na hawa mabint kwa speed ambayo nahis ni sabab ya skukuu...
Hapa nyuma,niliamua kwakwel kuya cancel makoloni yoote sabab niliona hayana tija,..ni bora hzo pesa niwe namnunulia mama yangu magauni na viatu ,ni bora afurah mama angu kuliko hawa watu.
Alikuepo singo maza m1 matata sana,.alikuepo bint m1 wa stationery flan hiv,..alikuepo bint mwingne huyu kupika kwake mwiko,..na cha mwisho ni kitoto cha udsm hiki ndo naenda nacho sawa ingawaje hakijanitunuku bado,..
Hao woote kasoro katoto hako,niliwacancel kwa style fulan ambayo sio direct ila mpaka sasa ni karibia miez mi wili..sasa gafla naona sim kadha wa kadha
Je,ni mapenz ama ni skukuu,mwingne kadirik et nakuja tuyaongee kwako,akadakia utakula nin nije pika,
hahahah,aisee,..ukubwa raha sana,..i remember those days jins papuch ilivyokua adim kwangu,leo nazikimbia mwenyew,hahah
Sorry kwa uzi wa kijinga