Ankali, Paskal Mayala kuna mjadala mkubwa wa kitaifa unaoendelea humu kuhusu Waziri wa Nishati, Januari Makamba mbona hufanyi uchambuzi wako juu ya yanayoendelea.
Umeaacha wadau wengine humu na Global Tv peke yao Why?
Pascal Mayalla ni mwanaccm, daima atayakumbatia maovu ya ccm.
Kama nguli huyu angelijitenga na mahaba ya chama chake hivi sasa angeliweza kuwa na ushawishi mkubwa Sana kwa wasomaji na wafuatiliajj wa masuala ya siasa.
Hata angelianzisha YouTube channel yake angepiga mpunga wa maana Sana.