johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni Mtanzania, binadamu, mwenye haki sawa kama Raia mwingine yeyote katika Taifa letu. Wewe ulitaka awe nani?
Mbona jaziba. Wengine hatumjui labda ulitakiwa uweke CV yke tujue ni nani.Ni Mtanzania, binadamu, mwenye haki sawa kama Raia mwingine yeyote katika Taifa letu. Wewe ulitaka awe nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona jaziba. Wengine hatumjui labda ulitakiwa uweke CV yke tujue ni nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe ambayo wewe ulijiunga Jf ndio yeye alistaafu Jf yaani ile siku ya wajinga.Mbona jaziba. Wengine hatumjui labda ulitakiwa uweke CV yke tujue ni nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu vyema[emoji106]Ni Mtanzania, binadamu, mwenye haki sawa kama Raia mwingine yeyote katika Taifa letu. Wewe ulitaka awe nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge mtarajiwa!Kwaiyo mayalla ndo nani hapa Tz?
Mawazo ya mtu hayatokani na CV Bali hekima aliyonayo.Mbona jaziba. Wengine hatumjui labda ulitakiwa uweke CV yke tujue ni nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msihangaike lengo la jamaa ilikuwa ni kuwaingiza wanyonge Chaka ili wasiitake serikali hii inayonuka madeni na ufukara kuweka ruzuku kwenye mask boraMwandishi wa habari nguli mh Pascal Mayalla amewataka wataalamu wa Kemia kuja hadharani na kutuchambulia faida na hasara za kupiga fumigation mitaani na kwenye vyombo vya usafiri kama kuna tija kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Kadhari watuelimishe juu ya ubora wa barakoa kama zinaweza kuttumika kuihujumu nchi kwa kuletwa zikiwa na vimelea vya Corona.
Pascal na Dotto Bulendu wamesisitiza kuwa huu sio wakati wa kuwaachia waandishi wa habari waliosoma HGL na HGK pekee kuripoti habari za Corona bali wanahitajika wabobezi wa maswala ya afya katika kulihabarisha taifa.
Source Star tv
kwahiyo mayalla ana hekima???Mawazo ya mtu hayatokani na CV Bali hekima aliyonayo.