johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyo jamaa ni zaidi ya corona,na anachokifanya si kigeni ni uchonganishi kama kawaida yakeHuyu Pascal hata JamiiForums ikiingia kwenye misukosuko anaweza kufurahia-sio wa kuaminika sana.
Kuna jamaa wa dit aliiomba corona ikaja bwashee!Corona inakuja kwa kuombwa?
Ukimwi uja kwa kuombwa au kufanya ngono? malaria uja kwa kuombwa au kulala bila net?
Bwashee katika janga hili " mitishamba" ina msaada gani?....... Hii ni vita kamanda!Jo ni ngumu kuwazuia watu kusema mawazo yao... Kusema hisia zao.. Kwa hali tuliyo nayo watu hufurahia yatupate mabaya kuliko mema.. Badala ya kuwalaumu tunatakiwa tujitafakari ni wapi tumepotoka na kukosea
Hisia za watu ni sawa na maji.. HAYAZUILIKI na ukijaribu kufanya hivyo yatatafuta yenyewe pa kutokea
Jr[emoji769]
Ndani ya JF kuna watu wa kila aina na kila hulka. Unaweza kukuta aliyesema Corona ije hana hata cheo cha Mwenyekiti wa tawi.Kuna jamaa wa dit aliiomba corona ikaja bwashee!
Hahahaaaa....... hiyo sentensi ya mwisho ndio imenichekesha!Wewe ndiyo uliomba Corona ije ili umkomoe Magufuli.
Pumbavu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu mnapenda mambo ya kuwafurahisha tuHuyu Pascal hata JamiiForums ikiingia kwenye misukosuko anaweza kufurahia-sio wa kuaminika sana.
Ni mnafiki kama walivyo wana CCM wengine tu.Jana kaja na uzi wake kutaka watu watumie fursa kutokana na Corona, halafu mtu huyo huyo analaumu walioomba Corona ije Tanzania, hata simuelewi.
Paskali anasema tushukuru kwa kila jambo, halafu wengine wakiomba Corona ije Tz hataki kushukuru!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee katika janga hili " mitishamba" ina msaada gani?....... Hii ni vita kamanda!
Ahsante mkuu..... Hii safi sana!
Jr[emoji769]