Pascal Mayalla: JamiiForums ndio mtandao bora kwenye utoaji elimu japokuwa wengine waliomba corona ije kupitia hukohuko

Kuna mtu anamwamini Pasco baada ya yaliyompata Kabendera zaidi ya wewe na mkewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yaliompata kabendera si amejitakia? Laana ya mamaake itamuandama popote alipo,kwa sababu kabendera alishaambiwa na mama yake mara kadhaa,aache kuitukana serikali, hakusikia
Kabendera kasababisha mama yake kufa kwa kiburi chake,angemsikila mama yake asingekaa mahabusu,angeweza kumuhudumia..Asiesikia la mkuu,huvunjika guu
 
MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari Kwa media za Tanzania yetu.

Nawatakia uhuru wa habari mwema.
Paskali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…