Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

Pascal ni nguli wa tasnia ya habari hilo halina ubishi... Ambacho kinasababisha hawa manguli waonekane kama sio chochote ni hali za kiuchumi... Wakati dunia na tasnia ya habari inabadilika , hawa manguli hawakwenda na mabadiliko na mwisho wa siku vijana wadogo wamechukua nafasi zao, hasa kwa kuunganisha technologia na taaluma... Bado hajachelewa sana , anaweza kuanzisha studio yake na akatumia mitandao kuhoji watu mbalimbali na hasa viongozi wakubwa wa siasa na biashara na lazima waige akina Oprah.. Skills za Oprah ni kuuliza maswali na kufanya presentation nzuri... Wakongwe wanaojua sanaa wamepotea sana na kupoteza mguso, mwangalie Sued Mwinyi, Mtangazaji wa mpira nguli, Masoud Masoud anaujua muziki unatamani kipindi kiisiishe.. Wote hawa hawatumii technologia ya kisasa , wangefika mbalimbali zaidi.. Tunaona sasa hata clips za akina chumvi na Zembwela zinawekewa matangazo , hata UJUGU naye anapiga hela... Pascal onyesha njia ingia benki, fanya ubia na vijana wadogo wa sasa ... utatoka na kuheshimiwa.
 
Daah, kitambo Sana nilianza kumsikia nikiwa shule ya msingi miaka ya 90,ni mbobez na anajua vitu mno, kisiasa, kijamii na kiuchumi na ndio maana kwenye kipind chake cha kitimoto alifanikiwa Sana, cha ajabu watangazaji wa siku hizi, wanajua epl, laliga na muziki tu, hawana general knowledge kama Pascal. Alimpiga swali mwendazake nikamuona mwendazake kama alipaniki hivi, akamrushia utani wa kumdiscourage akitumia maana ya Mayala kwa kisukuma. Toka hapo alipoteza uelekeo kwa kutokuona na akaona ajipambanue zaidi kuwa yeye ni Kada Lakin amesahaulika.
 
Paschal kilichompoza ni tamaa ya vyeo. Over kwasasa mwandishi wa habari naye mkubali kwa maswali ya uhakika ni Doto Bulendu
 
Kosa pekee la Pasko ni kugeuka MATAGA. Unfortunately, MATAGA wamezikwa na Mwendazake 😊
 
CCM inatakiwa wamfikirie huyu nguli wa habari ili walau astaafu kwa heshima, kawafanyia mengi mazuri !! teuzi na teuzi zinapita ila jina hatulioni - kulikoni? - si vzr hivi.
Nadhan kupata uteuz haimaanish kuwa ndio atastaafu kwa heshima
 


Webmaster hizi topic ambazo hazina agenda zaidi ya kuongelea watu binafsi ingekuwa vizuri zifutwe au kupelekwa sehemu maalamu ya umbeya
 
Paschal wa "Greatthinkers" alishastaafu tangu aitwe "Njaa" kwenye ile press🤣🤣
 
mayalla alikuwa mtangazaji tuu kuna tofauti ya watengenezaji na wabunifu na kadhalika paschal hayumo humo na kipindi cha kiti moto hakiuanzishwa na yeye hata kwenye utangazaji alikuja baada ya betty mkwassa na ndio alionipa jina la paschal kama anaweza kufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…