johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Huwezi kufurahia lakini utakubali!Kamwe siwezi KUFURAHIA teuzi huku nikifumbia macho MAOVU kwani utakuwa ni USALITI na UNAFIKI mkubwa wa kile ambacho nimekisimamia kwa miaka chungu nzima.
Chadema inajifia yenyewe msitafute mchawi!
Huyo kiswahili kinampa shida
Huwezi kufurahia lakini utakubali!
Simjui Pascal Mayalla kukuzidi wewe lakini ninachofahamu ofisi yake ina kuzidi hapo kwenu Ufipa ukiondoa hiyo ruzuku mnayosaidiwa na serikali!Pascal ana njaa kali sana mkuu labda wewe unamjua kupitia tv au jamii forum
In God we Trust
Mzee wa kuvunja sheria makusudiMkono anaumwa Kansa ukimuona kama una roho ndogo unaweza kukimbia
Awo......haoSasa awo wanajua nini hapa Duniani ndo maana wanaishia kufanya mahojiano startv tu uwezi kuwasikia hata DW.
Hata Prof Kitila aliwahi kusema hivyo hivyo..... Lakini alipoteuliwa siku ya kuapishwa alifika Ikulu saa 12.00 asubuhi!NOPE that’ll be against my PRINCIPALS.
Me in JIWE’s government!!! That will never happen.
Hata Prof Kitila aliwahi kusema hivyo hivyo..... Lakini alipoteuliwa siku ya kuapishwa alifika Ikulu saa 12.00 asubuhi!
Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Pascal anasema kuna madai mitandaoni kuwa kwa sababu Spika na naibu wake ni wana CCM wamekuwa na kuwaida ya kuwapendelea wabunge wa chama chao ndio sababu Lisu na Nassari walifukuzwa lakini Muhongo na Mkono bado wanadunda japo hawapo bungeni.
Manyerere ambaye anatoka jimboni kwa Mkono amesema mbunge wake ni mgonjwa kwa takribani miaka mitano sasa na amewataka watu waache kumsema sema vibaya kwani siyo utamaduni wa kitanzania kuwateta wagonjwa.
Wanamjadala kwa pamoja wanasema ni vema sasa Tanzania ikawa na wagombea binafsi kwa sababu hii hama hama haina tija ni sawa tu na Uhujumu uchumi.
Mjadala umemalizika, nawashukuruni sana Dotto Bulendu na Pascal Mayalla kwa mjadala huu.
Maendeleo hayana vyama!
[/QUOTE
nilitegemea haya kutoka kwako kwakuwa ww ni mwanaccm kindakindaki uliyejaa ukabila je lisu alikuwa haumwi
Yohana amesema Mayalla na Jacton wamesema spika anayo mamlaka ya ziada. Sasa ni mamlaka gani hayo ya ziada? Maana wewe umekariri ibara ya 71(1)(e) basi. Kumbe ili itekelezwe kuna mambo ya ziada amabyo lazima spika akamilishe.Katiba inasemaje kwa mtu asiye na dhamana ya chama cha siasa kuwa mbunge? Kweli matamko na matakwa ya mtu yawe juu ya katiba? Kweli Mayalla na Manyerere mnatetea uvunjifu wa katiba unaofanyika mchana kweupe? Basi mna matatizo!
Tueleweshe hata sisi ambao hatujaelewa. Huo ndio ustaarabu.Aliyeelewa ameelewa
Ule mkwara wa Kigwa... umesaidia kumpunguza makali.Hata Manyerere naona kesha ishiwa pumzi sasa
In God we Trust
Siasa ni sayansi!Ule mkwara wa Kigwa... umesaidia kumpunguza makali.
Nani ana njaa?!
Wakisema Ndugai hayupo sahihi ka TV ka watu katafungiwa! Kwa mazingira wanayozungumzia waacheni wazoze watakavyo! Ila kila mtu anajua Ndugai katowa boko la karne!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mayala Paskal anasaka uteuzi kwa udi na uvumba lazima ajipendekeze kwa NdungaiWakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Pascal anasema kuna madai mitandaoni kuwa kwa sababu Spika na naibu wake ni wana CCM wamekuwa na kuwaida ya kuwapendelea wabunge wa chama chao ndio sababu Lisu na Nassari walifukuzwa lakini Muhongo na Mkono bado wanadunda japo hawapo bungeni.
Manyerere ambaye anatoka jimboni kwa Mkono amesema mbunge wake ni mgonjwa kwa takribani miaka mitano sasa na amewataka watu waache kumsema sema vibaya kwani siyo utamaduni wa kitanzania kuwateta wagonjwa.
Wanamjadala kwa pamoja wanasema ni vema sasa Tanzania ikawa na wagombea binafsi kwa sababu hii hama hama haina tija ni sawa tu na Uhujumu uchumi.
Mjadala umemalizika, nawashukuruni sana Dotto Bulendu na Pascal Mayalla kwa mjadala huu.
Maendeleo hayana vyama!
Paskali anajua kabisa kuwa hiyo si halali ila anabembeleza urafiki wa Kaisari, Kwa wale wabunge wanne wa CHADEMA kufukuzwa kwao hakuwezi kuzuiwa na spika. Eti spika anataka vikao....vya kazi gani? Yeye anapaswa kupewa taariva tu kuwa fulani fulani si wanachama wetu na yeye kutangaza. Ila suala la Mwambe lina technicality nyingi...Hata hivyo angeitwa na Spika ajieleze kwa kosa la kutohudhuria bunge bila taarifa kama CHADEMA hawakutuma barua ila kwa vile spika anajua kilichokuwa kinaendelea akafunga macho, angemuuliza alikuwa wapi?Wakisema Ndugai hayupo sahihi ka TV ka watu katafungiwa! Kwa mazingira wanayozungumzia waacheni wazoze watakavyo! Ila kila mtu anajua Ndugai katowa boko la karne!
Sent using Jamii Forums mobile app