johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #81
Pascal Mayalla ana maisha yake ambayo ameridhika nayo na anachokifanya ni kulisaidia taifa tu kama mzalendo.Mayala Paskal anasaka uteuzi kwa udi na uvumba lazima ajipendekeze kwa Ndungai
Mayala Paskal kwa sasa kajitoa fahamu zote amekuwa kituko yupo tayari kutetea ukandamizaji wa demokrasia uvujifu wa katiba Sheria kaamua kuwa Mtumishi binafsi wa Ndungai watumie Sheria binafsi za Ndungai kuendesha bunge kishetani kuwarejesha akina silinde Bungeni kwa njia haramu kabsaTulishaambiwa kuwa mayala ni njaa kwahyo elewa njaa imeshapanda kwenye ubongo
Pengine humjuia vizuri Paskal mayala kwa sasa anataabika kwa njaa ndiyo maana kajitoa fahamu kukumbatia ushetani wa Ndungai apate uteuziPascal Mayalla ana maisha yake ambayo ameridhika nayo na anachokifanya ni kulisaidia taifa tu kama mzalendo.
Spika Ndugai yuko sahihi Chadema inatoa udhamini siyo ubunge.Pengine humjuia vizuri Paskal mayala kwa sasa anataabika kwa njaa ndiyo maana kajitoa fahamu kukumbatia ushetani wa Ndungai apate uteuzi
CUF ilikuwa inatoa udhamini mbona huyo huyo Spika wako akiwafuta ubunge? Ujue Ndungai na Paskal mayala wote wamejitoa fahamu kumfurahisha mtukufu.Spika Ndugai yuko sahihi Chadema inatoa udhamini siyo ubunge.
Kosa la Pascal ni nini hapo?!
Paskal mayala ana njaa hata ukijitoa fahamu umtetee vipi hakuna wa kukusikiliza watu wanajua anasaka uteuzi kwa kila hali apate kula afiche Aibu zakeNani ana njaa?!
Wale wabunge 8 wa Cuf Spika Ndugai aliletewa taarifa na mwenyekiti wa NEC kwamba wale wabunge wa viti maalumu wamepoteza sifa!CUF ilikuwa inatoa udhamini mbona huyo huyo Spika wako akiwafuta ubunge? Ujue Ndungai na Paskal mayala wote wamejitoa fahamu kumfurahisha mtukufu.
Siwezi kukubishia kwa sababu sijui unaxungumzia njaa gani..... Hata Yesu aliposema anaona kiu wayahudi walidhani ni kiu ya maji!Paskal mayala ana njaa hata ukijitoa fahamu umtetee vipi hakuna wa kukusikiliza watu wanajua anasaka uteuzi kwa kila hali apate kula afiche Aibu zake
Rwakatare siyo mungu siyo malaika kuwa atakachokisema kitaaminika kwa watanzania wenye Akili timamu, ukumbuke magufuli alishasema watanzania siyo wajinga anajua watanzania wa sasa wanajua propaganda zote za CCM ndiyo maana humpuuza cyprian Musiba na sasa Rwakatare kawa Musiba namba mbili atapuuzwa tu na kila mmoja atahoji alikuwa wapi siku zote? na kwa nini atengeneze uzushi sasa? Uzushi wake wa kishamba mwambieni abakie nae huko huko kabla hajadharaulika kama mwanamke aliyeachika kisha kuamua kumchafua mmewe makusudi.Hilo la kupiga risasi Lwakatare atalitolea ufafanuzi wiki ijayo.....na ndipo wabunge wengine 11 watakapotimka na Chadema kubakia na wabunge watatu tu!
Paskal mayala hana pesa ya kula mzunguko wake wa pesa upo vibayaSiwezi kukubishia kwa sababu sijui unaxungumzia njaa gani..... Hata Yesu aliposema anaona kiu wayahudi walidhani ni kiu ya maji!
Hata wa sasa taarifa anazo lakini Ndungai kajitoa fahamu kasahau kuwa malipo ni hapa hapa Duniani wapo wapi akina chiluba, Abacha, mabutu, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Elbashiri, Iddy Amin dada waliokuwa wanyama kuliko hata akina Ndungai?Wale wabunge 8 wa Cuf Spika Ndugai aliletewa taarifa na mwenyekiti wa NEC kwamba wale wabunge wa viti maalumu wamepoteza sifa!
Ataongea kwa ushahidi maswala ya usalama kitengo alichokisimamia.Rwakatare siyo mungu siyo malaika kuwa atakachokisema kitaaminika kwa watanzania wenye Akili timamu, ukumbuke magufuli alishasema watanzania siyo wajinga anajua watanzania wa sasa wanajua propaganda zote za CCM ndiyo maana humpuuza cyprian Musiba na sasa Rwakatare kawa Musiba namba mbili atapuuzwa tu na kila mmoja atahoji alikuwa wapi siku zote? na kwa nini atengeneze uzushi sasa? Uzushi wake wa kishamba mwambieni abakie nae huko huko kabla hajadharaulika kama mwanamke aliyeachika kisha kuamua kumchafua mmewe makusudi.
Ndugai hapewi taarifa na Chadema anapewa na Tume ya uchaguzi!Hata wa sasa taarifa anazo lakini Ndungai kajitoa fahamu kasahau kuwa malipo ni hapa hapa Duniani wapo wapi akina chiluba, Abacha, mabutu, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, Elbashiri, Iddy Amin dada waliokuwa wanyama kuliko hata akina Ndungai?
Hilo ni dua la kuku bwashee!Paskal mayala hana pesa ya kula mzunguko wake wa pesa upo vibaya
Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Pascal anasema kuna madai mitandaoni kuwa kwa sababu Spika na naibu wake ni wana CCM wamekuwa na kuwaida ya kuwapendelea wabunge wa chama chao ndio sababu Lisu na Nassari walifukuzwa lakini Muhongo na Mkono bado wanadunda japo hawapo bungeni.
Manyerere ambaye anatoka jimboni kwa Mkono amesema mbunge wake ni mgonjwa kwa takribani miaka mitano sasa na amewataka watu waache kumsema sema vibaya kwani siyo utamaduni wa kitanzania kuwateta wagonjwa.
Wanamjadala kwa pamoja wanasema ni vema sasa Tanzania ikawa na wagombea binafsi kwa sababu hii hama hama haina tija ni sawa tu na Uhujumu uchumi.
Mjadala umemalizika, nawashukuruni sana Dotto Bulendu na Pascal Mayalla kwa mjadala huu.
Maendeleo hayana vyama!
Komu rwakatare hata wakija na vielelezo vya video wakati wanaongea hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atataka kuwasikiliza sasa, kila mmoja anajua wana visasi na chadema wanataka kuikomoa chadema kila watakachosema kitapuuzwa tuAtaongea kwa ushahidi maswala ya usalama kitengo alichokisimamia.
Kisha Mtunza hazina mstaafu mh Komu ataeleza ya kitengo chake.
Lengo ni kuimarisha upinzani siyo kuubomoa!
Paskal mayala hana pesa ya kula mzunguko wake wa pesa upo vibaya
Basi ngoja tugeuze liwe dua la NdungaiHilo ni dua la kuku bwashee!
Muda utaongea bwashee!Komu rwakatare hata wakija na vielelezo vya video wakati wanaongea hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atataka kuwasikiliza sasa, kila mmoja anajua wana visasi na chadema wanataka kuikomoa chadema kila watakachosema kitapuuzwa tu