Paschal Casian: Nampa Christina Shusho miaka mitano tu atakuwa amezeeka

Paschal Casian: Nampa Christina Shusho miaka mitano tu atakuwa amezeeka

Taitu2024

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2024
Posts
244
Reaction score
295
Paschal Casian: Nampa Christina shusho miaka mitano tu atakuwa amezeeka.
 
Mnamshambulia mwamba kama kaua vile, kwan kasema yeye hatazeeka? Tina atazeeka tena miaka mitano mingi, mm nampa miwili tu.
 
Sina knowledge kubwa sana kuhusu haiba za watu ila kwa 80% huyu ni Muha toka kigoma .

Kuhusu aliyoongea sina comment kama walio comment hapo juu. Mimi sipingi wala siungi mkono.
Kila mtu aacjwe na kile anachoamini.
Keshasema ni dada yake! Ingawa ana rafudhi ya kihaya!
 
Wanaume nchi hii wanazidi kuchanganyikiwa kila siku!! Shida ni gani 🤷🤷🤷
 
Kwani kuna binadamu ambaye hatazeeka? Hizi ndio akili za kindezi. Acheni kufuatilia maisha ya watu,.
 
Sina knowledge kubwa sana kuhusu haiba za watu ila kwa 80% huyu ni Muha toka kigoma .

Kuhusu aliyoongea sina comment kama walio comment hapo juu. Mimi sipingi wala siungi mkono.
Kila mtu aacjwe na kile anachoamini.
Waha walikufanya nini huko nyuma?
 
zamani mie kumsema na kumsengenya mtu niliona kitu kizuri ila baadae nikajua sio kitu kizuri nilipojua NURU NA GIZA NI KITU KIMOJA ILA KAZI TOFAUTI KAMWE NILIJIKITA KUJITAFUTA SIO KUMTAFUTA .OMBEEN WACHAWI HATA WABAYA ADUI ZENU MAMBO MAZURI
 
Amen Ubarikiwe Sana.
 
Back
Top Bottom