MMkuu Miss mia, asante sana.Merry Christmas and happy new year,
Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba mungu awaendelee kuwapigania muendelee kupata mafanikio zaidi kwa mwaka ujao.
Asante kuniombea uteuzi, ila pia kuna type mbalimbali za watu, wengine wakiteuliwa, wanafanya kazi nzuri, kama Mama Samia, lakini kuna wengine kuteuliwa kuwa DC, is a waste!. Mimi naitafuta 60!, issues za kuwa DC sio type yangu na hili nimelizungumza mara nyingi humu!. Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!Naomba mungu mwakani bwana pascal mayala aweze kuteuliwa hata mkuu wa wilaya au cheo chochote cha siasa.
Miss Mia asante,"Pascal, Lumumbashi na Gaganiga merry Christmas and happy new year"
Mkuu Mrs Omopa , asante sana, Miss Mia anakusalimia.Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba Mungu awaendelee kuwapigania muendelee kupata mafanikio zaidi kwa mwaka ujao.
"Pascal, happy new year"