Move ya katiba sasa hivi inaonekana kuwa kati ya CCM na CDM, Pascal hayuko huko, so nadhan yuko sahihi kuonesha hilo wazi kwamba hayuko katika pande zinazovutana. I stand to be corrected.
anajidai anajua sana kiingereza, ndiyo shida ya wasukuma wafupi
Ni kweli.Ku declare interest maana yake unajiweka wazi kwamba jambo ambalo unataka kulizungumzia kwa namna moja ama nyingine una maslahi nalo.Kwa kuwa yeye alitaka kuonyesha kwamba hana upande,kwa maoni yangu hakutakiwa kutumia hayo maneno pale.
Nafikiri alikuwa akimaanisha kwamba kabla hajaendeleza mjadala ilikuwa ni muhimu kwa hadhira kutambua mapema kwamba yeye si mwanachama wa chama chochote kile na wala hana maslahi (interest) humo.
Kwahio chochote ambacho angekuwa akisema kwenye mahojiano hayo kilitakiwa kifahamike kwamba ni mawazo yake binafsi.
Nadhani angesema 'in the interest of full disclosure mimi si mwanachama wa chama chochote' ingependeza zaidi.
unapo declare interest maana yake ni kufahamisha hadhira kwamba wewe una maslahi na kitu/jambo fulani linalohusiana na hoja unayotaka kuzungumzia na kwa hivyo watu wata judge hoja yako kulingana na maslahi uliyotolea taarifa, na kwa mantiki hiyo kauli aliyotoa paschal mayala was irrelevant and wrong!
Ni kweli.
Leo nikifuatilia mdahalo wa mchakato wa katiba uliorushwa na star tv, nilimsikia Paschal Mayala akisema baada ya kupewa kipaza sauti... "Kwanza naomba ku declare interest" halafu akaendelea "mimi si mwanachama wa chama chochote..." Swali langu ni je, alikuwa sahihi? kama hakuwa mwanachama wa chama chochote, alikuwa na haja ya ku declare hiyo interest?
Leo nikifuatilia mdahalo wa mchakato wa katiba uliorushwa na star tv, nilimsikia Paschal Mayala akisema baada ya kupewa kipaza sauti... "Kwanza naomba ku declare interest" halafu akaendelea "mimi si mwanachama wa chama chochote..." Swali langu ni je, alikuwa sahihi? kama hakuwa mwanachama wa chama chochote, alikuwa na haja ya ku declare hiyo interest?
Nafikiri alikuwa akimaanisha kwamba kabla hajaendeleza mjadala ilikuwa ni muhimu kwa hadhira kutambua mapema kwamba yeye si mwanachama wa chama chochote kile na wala hana maslahi (interest) humo.
Kwahio chochote ambacho angekuwa akisema kwenye mahojiano hayo kilitakiwa kifahamike kwamba ni mawazo yake binafsi.
umeandika kamamsusi wa kinondoni... aobu sana kwa mtu mwenye staha na kuheshimika kama weweAnajidai anajua sana Kiingereza, ndiyo shida ya wasukuma wafupi