Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Tunamuonya mapema
Huyu alishughulikiwa kipindi cha Magu akarudisha mpira kwa kipa.... tokea kipindi hiko amesimama na msimamo "He has family to feed not community to impress"....Paschal Mayalla,wewe ni mzee,lakini tumia Hekima na busara uliyonayo,damu ya watanzania iliyomwagika itakulaani kizazi chako chote,kwa kusimama na wadhalimu,heri kuwa kimya kuliko kuongea na kusimama upande wa wadhalimu,
Nakuomba mzee wangu malizia uzee wako kwa hekima,Duniani hakuna kilicho chenye pumzi kitadumu milele maana sote tutakufa,japo vifo vyetu vitatukumba kwa Mikasa tofauti tofauti,lakini heri kusimama katika haki maana ni heshima ya milele na utatengeneza kitabu cha historia nzuri na ya hekima pia utaishi mioyoni mwa watu waliyo Hai milele na milele ijapokuwa katika kipindi hicho ni mfu wa millenia.
πππππππ
Pascal Mayalla niwaona huko marekano ma Latinos kwenye maandamano ya mama..Paschal Mayalla,wewe ni mzee,lakini tumia Hekima na busara uliyonayo,damu ya watanzania iliyomwagika itakulaani kizazi chako chote,kwa kusimama na wadhalimu,heri kuwa kimya kuliko kuongea na kusimama upande wa wadhalimu,
Nakuomba mzee wangu malizia uzee wako kwa hekima,Duniani hakuna kilicho chenye pumzi kitadumu milele maana sote tutakufa,japo vifo vyetu vitatukumba kwa Mikasa tofauti tofauti,lakini heri kusimama katika haki maana ni heshima ya milele na utatengeneza kitabu cha historia nzuri na ya hekima pia utaishi mioyoni mwa watu waliyo Hai milele na milele ijapokuwa katika kipindi hicho ni mfu wa millenia.
Sijui kama atakuelewa hasa wakati huu ambapo ashastaafu na anatafuta ka kitu ka kumalizia maisha nako.Paschal Mayalla,wewe ni mzee,lakini tumia Hekima na busara uliyonayo,damu ya watanzania iliyomwagika itakulaani kizazi chako chote,kwa kusimama na wadhalimu,heri kuwa kimya kuliko kuongea na kusimama upande wa wadhalimu,
Nakuomba mzee wangu malizia uzee wako kwa hekima,Duniani hakuna kilicho chenye pumzi kitadumu milele maana sote tutakufa,japo vifo vyetu vitatukumba kwa Mikasa tofauti tofauti,lakini heri kusimama katika haki maana ni heshima ya milele na utatengeneza kitabu cha historia nzuri na ya hekima pia utaishi mioyoni mwa watu waliyo Hai milele na milele ijapokuwa katika kipindi hicho ni mfu wa millenia.
Na huo ndio ukweli, ukisoma maandiko yake hayaeleweki kama sigara nyota, hujui wapi ni mbele wapi ni nyuma. Ukweli anaujua na upande sahihi anaujua vyema sana.Mwanzo Mayalla alikuwa anawinda teuzi lakini kwa sasa anaogopa sana kutekwaπ
Anajua kuwa lifespan ya mwanaharakati aliyeko ndani ya Bongo country ni ndogo sana.Na huo ndio ukweli, ukisoma maandiko yake hayaeleweki kama sigara nyota, hujui wapi ni mbele wapi ni nyuma.
Anaogopa kutekwa, hilo ndilo jibu sahihi, muacheni mzee wa watu alee wajukuu zake kwa amani.
Anatamani kufunguka kuzungumza ukweli na kufuata kanuni , miiko na taratibu za uandishi wa habari, lakini kila akiwaza kuhusu kubanwa kende na plaizi, mzee wa watu inabidi aandike vitu ambayo hadi sasa sijajua yupo upande gani... inasikitisha sana..Anajua kuwa lifespan ya mwanaharakati aliyeko ndani ya Bongo country ni ndogo sana.
Mjini pagumu bwashe uteuzi unasakwa kwa udi na uvumbaNa huo ndio ukweli, ukisoma maandiko yake hayaeleweki kama sigara nyota, hujui wapi ni mbele wapi ni nyuma. Ukweli anaujua na upande sahihi anaujua vyema sana.
Anaogopa kutekwa, hilo ndilo jibu sahihi, muacheni mzee wa watu alee wajukuu zake kwa amani.
Hawa wazee wapumzike tu, mzee mwenzake Mohamed Said ameamua ku deal na historia ya uislamu katika mchango wa kupambania uhuru Tanganyika.Huyu jamaa katapikwa na pande zote sababu yupoyupo kama kitumbua... Haeleweki nyuma wala mbele alafu bahati mbaya zaidi anajiona yupo sawa.
πππππππ aisee nimecheka mpaka shemeji yako amenishangaa..lakini kila akiwaza kuhusu kubanwa kende na plaizi
Mzee wa watu aanze kuandika hata kuhusu mpira wa miguu kwenye magazeti, au novel, kuandika siasa atawachukiza Gen Z halafu siku ya maandamano waka deal nae.πππππππ aisee nimecheka mpaka shemeji yako amenishangaa..