Asipotambua nyakati atakua mtu aliyeshika mawili kisha yakamponyoka yote... Huyu jamaa alikua anaheshimika na watanzania wote kuanzia serikalini hadi mtaani, ila ile heshima aliyokua nayo imegeuka aibu hadi kwangu niliyeipenda jamiiforum kupitia yeyeHawa wazee wapumzike tu, mzee mwenzake Mohamed Said ameamua ku deal na historia ya uislamu katika mchango wa kupambania uhuru Tanganyika.
Mayalla nae atumie ujuzi wake wa uandishi kuandika mambo mengine yasiyohusu zaidi siasa, maana watu hawamuelewi.
Inasikitisha sana.Asipotambua nyakati atakua mtu aliyeshika mawili kisha yakamponyoka yote... Huyu jamaa alikua anaheshimika na watanzania wote kuanzia serikalini hadi mtaani, ila ile heshima aliyokua nayo imegeuka aibu hadi kwangu niliyeipenda jamiiforum kupitia yeye
Huyo ameshakula mtaji wake wa kitaaluma siku nyingi. He can no longer be counted on to perform to the professional standard!Asipotambua nyakati atakua mtu aliyeshika mawili kisha yakamponyoka yote... Huyu jamaa alikua anaheshimika na watanzania wote kuanzia serikalini hadi mtaani, ila ile heshima aliyokua nayo imegeuka aibu hadi kwangu niliyeipenda jamiiforum kupitia yeye
Ndio mkubali JK alikuwa na uungwana kwenye uhuru wa habariEnzi za ujana wake alikuwa akiwakaanga vizuri vigogo wa serikali DTV, bila woga, kwenye kile kipindi chake cha kitimoto.
Kitimoto ilikuwa enzi za Mkapa, 1995 kama sikosei.Ndio mkubali JK alikuwa na uungwana kwenye uhuru wa habari
Alitukanwa , Alibezwa na mpaka hata mtoto wake alizodolewa kwenye matokea, lakini Mzee alikuwa anacheka tu......
Mlivyompata Jiwe mkafurahi na mihemko yake, na huyo ndio alimfinya Pasco, na vyombo vyote habari, ndio uliokuawa mwanzo wa udikteta uchwara unaendelea sasa....
Kisiasa ndumila kuwiliπππππππ
VERSE ππππ nyuma na mbele kote kazi kazi πππππ
Shida yenu kubwa nyinyi hamtaki mtu awe na misimamo tofauti lazima wakubaliane na nyinyi, nani kaamua kama upande wako ndio wa haki? Nyinyi mtakuwa worse than CCM mkipata power. Yoyote mwenye mawazo different ni adui, nini tofauti yenu na CCM?Paschal Mayalla,wewe ni mzee,lakini tumia Hekima na busara uliyonayo,damu ya watanzania iliyomwagika itakulaani kizazi chako chote,kwa kusimama na wadhalimu,heri kuwa kimya kuliko kuongea na kusimama upande wa wadhalimu,
Nakuomba mzee wangu malizia uzee wako kwa hekima,Duniani hakuna kilicho chenye pumzi kitadumu milele maana sote tutakufa,japo vifo vyetu vitatukumba kwa Mikasa tofauti tofauti,lakini heri kusimama katika haki maana ni heshima ya milele na utatengeneza kitabu cha historia nzuri na ya hekima pia utaishi mioyoni mwa watu waliyo Hai milele na milele ijapokuwa katika kipindi hicho ni mfu wa millenia.
Na wanamlilia JPM leo ndio ujue unafiki wa watu. Wakati Pasco anaadhibiwa bila kosa hawa watu wanajiita upande wa haki walikuwa kimyaa wanacheka tu. Kiuhalisia Pasco lile swali likuwa halina shida yoyote na alikuwa anawasemea hawa wapenda haku wa leo lakini walikuwa wanacheka. Nani alitoka hadharani kumtetea Pasco?Ndio mkubali JK alikuwa na uungwana kwenye uhuru wa habari
Alitukanwa , Alibezwa na mpaka hata mtoto wake alizodolewa kwenye matokea, lakini Mzee alikuwa anacheka tu......
Mlivyompata Jiwe mkafurahi na mihemko yake, na huyo ndio alimfinya Pasco, na vyombo vyote habari, ndio uliokuawa mwanzo wa udikteta uchwara unaendelea sasa.....