Pasco Unachoma!

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Posts
17,240
Reaction score
3,930
Pasco, saa hizi hizi nilikuwa nasikiliza kipindi chako cha nane-nane kwenye TBC na nilicheka ulipokuwa kwenye banda la kufugia kuku la VETA, nilicheka ulipokazania kumuonea huruma kuku kuwa sasa ndio kisha nunuliwa "anaenda kuchinjwa", uliiongea kwa feelings na ukarudia mara mbili tatu!

Mjomba hicho kilikuwa cha wapi? Dodoma? Nna uhakika feelings zile si bure!
 
wazee wa zamani tulikuwa tukikchukia ili kuondoa mawazo unaandika yote yaliyokusababisha uchukie kisha unayafungia kwenye chupa unakwenda kutupa hasila zinakwisha Sasa wewe sijui nikuweke kundi gani
 
Kwa vile mimi nimesoma Ilboru Arusha, kwa waliofika Ilboru, kwa baridi lile, kuota moto ni kawaida na cha Arusha nakijua.

Ila siku hizi cha Arusha ni brand name tuu ya jina la Biashara, anasema cha Arusha ili auze fasta, ila kwa sisi tunaokijua cha Arusha, uki test zali, unakuta sio cha Arusha, unaweza kukuta ni cha Njombe. Hivyo hicho ni kinaweza kuwa cha Arusha ila sio lazima kiwe cha Arusha.
P
 
Enzi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…