Pasha: Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize

Si kuna kipindi tulisikia alipata mzungu wake akawa analelewa?
 
pasha ni msanii mzuri sana,mno..ila tokea mwanzo niliona anakosa kitu alikosa PR na management...ila video na nyimbo zilikua poa sana...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…