Pasi ya zamani:Pitia huu uzi tufanye biashara

Pasi ya zamani:Pitia huu uzi tufanye biashara

Theodore Bagwell

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
940
Reaction score
225
Kwa anayeweza kufanya hiyo biashara atiririke hapa. Ngoja nikaangalie champions league kwanza halafu nitarudi
 
mwenye uzi unakimbia mashabiki tutakaaje sasa wewe vipi tena
 
oya mchiz unazingua bana! umeposti magumashi tu!

sioni lolote lenye sense mchiz wangu!
 
Wakuu nimerudi: Maelezo mafupi ni kwamba nipo Mwanza mjini ila mali ipo kijijini kwa babu, Anayehitaji tuwasiliane 0656249682 kwa maelezo zaidi
 
Wakuu nimerudi: Maelezo mafupi ni kwamba nipo Mwanza mjini ila mali ipo kijijini kwa babu, Anayehitaji tuwasiliane 0656249682 kwa maelezo zaidi

pasi ya zamani ile ya mkaa? imetengenezwa kwa material gani mpaka uiuze?
 
Ndiyo ya mkaa. Imetengenezwa kwa madini ya dhahabu. Kwani mkuu huzijui?

nazozijua zimetengenezwa kwa copper, hiyo ya dhahabu si ukauze kwa wanunua madini upige pesa, gram moja ni zaidi ya laki nadhani bei ya sasa hivi.
 
hii biashara nilisikia zamani sana na wengi walilia! imerudi tena? kesho sema unayo rupia
 
Wakuu nimerudi: Maelezo mafupi ni kwamba nipo Mwanza mjini ila mali ipo kijijini kwa babu, Anayehitaji tuwasiliane 0656249682 kwa maelezo zaidi
mwenyewe ndo unajiona mjaaaanja!!!we kweli nde.zi,huoni aibu kionekana mwizi ?tena mpaka namba yako ya simu umeweka,utaumiaa dogo.
 
hzo pasi rupia cjui noti nyekundu ya masai mm sijawahi kumwona mtu kafanikiwa ktk ishu hzo.si elewi kazi zake nn?naona km utapeli tu,
 
Back
Top Bottom