Theodore Bagwell
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 940
- 225
Wakuu nimerudi: Maelezo mafupi ni kwamba nipo Mwanza mjini ila mali ipo kijijini kwa babu, Anayehitaji tuwasiliane 0656249682 kwa maelezo zaidi
pasi ya zamani ile ya mkaa? imetengenezwa kwa material gani mpaka uiuze?
Ndiyo ya mkaa. Imetengenezwa kwa madini ya dhahabu. Kwani mkuu huzijui?
mwenyewe ndo unajiona mjaaaanja!!!we kweli nde.zi,huoni aibu kionekana mwizi ?tena mpaka namba yako ya simu umeweka,utaumiaa dogo.Wakuu nimerudi: Maelezo mafupi ni kwamba nipo Mwanza mjini ila mali ipo kijijini kwa babu, Anayehitaji tuwasiliane 0656249682 kwa maelezo zaidi