never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,009
Nadhani uelewa wako ni finyu sana.. na kama chuoni mlikuwa mnapewa paper iliyokunjwa basi ulikuwa unaoga sup mwanzo mwisho...Ile 'me & u' feat vanessa mdee ilikuwa nyimbo ya ngapi!!,
Mana list yako naona kama umeipindisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile 'me & u' feat vanessa mdee ilikuwa nyimbo ya ngapi!!,
Mana list yako naona kama umeipindisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani uelewa wako ni finyu sana.. na kama chuoni mlikuwa mnapewa paper iliyokunjwa basi ulikuwa unaoga sup mwanzo mwisho...
WE MANYIKI NDOGO KAMA HII UNASHINDWA IELEWA??
Kwa kweli Ommy kwangu ni msanii mzuri mno ile nyimbo yake mpya naikiliza kwa siku hata mara 30 siichoki.Na kwanini useme kubust uwezo wa dimpoz wakati dimpoz pia ni mkali wala haitaji kubustiwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ommy dimpoz ni mkalii sawa ila anabebwa sana na alikiba bila kiba angekuwa kashapotea zamani sanaNa kwanini useme kubust uwezo wa dimpoz wakati dimpoz pia ni mkali wala haitaji kubustiwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba kaimba vizuri Dimpoz akakopi alichoimba Kiba....
Alikiba ameua sana Dimpoz alikopi melody ilitakiwa abadrishe melody na yule cheed kafanya chorus kama ina sound out of key kidogoKiba kaimba vizuri Dimpoz akakopi alichoimba Kiba....
Nyimbo mbaya video nzuri sijui walifikiria nini
Okey poaNyimbo ya kwanza kumtambulisha ommydimpoz kwenye bongo fleva ni
Nai nai , ommydimpoz fet alikiba
Published Jan 15,2012
Nyimbo ya pili ni
Kajiandae ommydimpoz fet alikiba
Published Nov 5,2016
Nasasa ni rockstar
Ommydimpoz fet alikiba
Published Apr 16,2019
Pasipo alikiba ommydimpoz si chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Video gani Kiba kamshirikisha Ommy?Ongezea pia kuwa pasipo Ommy video za kiba si chochote