Pasipoti

deezekiels

Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
42
Reaction score
3
Habarini wana jf, naomba mawazo yenu ya khari na mali kuhusu changamoto hii ya ombi la pasipoti, kwani dhumuni langu la kuomba pasipoti ni kujisajiri katika international english language testing system na baada ya kupata cheti hicho natarajia kuomba online scholarship ambazo kiukweli zinapatikana kwenye mitandao, lakini baada ya kusoma fomu za maombi na kuonana na ofisa wa uhamiaji imeonekana kwamba pasipoti inatolewa hasa kwa madhumuni ya safari za nje ya nchi kwa malengo tofauti mfano; ajira, michezo, masomo, dini, mialiko n.k tena uwe na vithibitisho vya safari husika. je kwa lengo hili la kujiunga na IELTS na baadae niombe online scholarship nitumie sababu au madhuni yapi au nitumie njia gani???
 
Huna jamaa au rafiki nje ya nchi akakufanyia barua ya mualiko ili upate hiyo passport na kisha sio lazima kusafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…