Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Hongera sana, KUITWA MAMA SI KAZI NDOGO, Mungu awatunze.
hivi wewe ni mama nani vile?
Mim ni mama MAPI hahaha, umesahau i see?
nimeangalia tu kama unawajali wanao maana wengine hadi washasahau kama wanawatoto
Hongera kwakeNachukua fursa hii adhimu kuwajulisha kuwa yule kipenzi cha wengi Passion Lady amejaaliwa kumleta mwanaume wa shoka duniani. Niwapongeze wadada na wamama wote kwa niaba yake. Pia wakaka na wababa wote kwa kazi ngumu ya kibaiolojia.
HONGERA SANA!
He is hopefully 10 now?Nachukua fursa hii adhimu kuwajulisha kuwa yule kipenzi cha wengi Passion Lady amejaaliwa kumleta mwanaume wa shoka duniani. Niwapongeze wadada na wamama wote kwa niaba yake. Pia wakaka na wababa wote kwa kazi ngumu ya kibaiolojia.
HONGERA SANA!
Nadhani atakuwa darasa la tano sasaSiku hazigandi aisee
NaamSiku hazigandi aisee