Passo ina tatizo, nahitaji ushauri

Gari mbovu sana hizo Sina Ham nazo. Nlikua nacho nkaamua kukiuza na hapo bado matatzo ya Sterling lake ndo utauona moto kigari kitakua kinagonga balaaa utabidili kila k2 kumbe tatzo ni sterling lake
 
Gari mbovu sana hizo Sina Ham nazo. Nlikua nacho nkaamua kukiuza na hapo bado matatzo ya Sterling lake ndo utauona moto kigari kitakua kinagonga balaaa utabidili kila k2 kumbe tatzo ni sterling lake
Ubovu.matumizi yako tu
 
Mlishaambiwa humu na Joshua kimiliki Passo inahitaji ujasiri ila hamkumsikia
 
nakushauri toboa tundu iweze kupita miguu chini, pindi ikiishiwa nguvu unashusha miguu unakimbiza inachanganya fasta
 
Kwa hapa me nnaona kuna
1. Unatakiwa uweke Oil ya gear box(Grear box oil) co ATF(Auto Transimation Fluid). Unatakiwa uweke Gear box oil kwa kiwango/level Sahihi co unajaza sana
Mafund weng wa hapa nchini wanatengeza magar kwa Uzoefu hawajui magar ya sasa yanakuja na Techologia nyngne(Advanced level) yaan electronic device nyng kuliko manual device

2.Pia unatakiwa uangalie gear selector/Sensor kwenye gear box kama inafanya kazi vzur. Maana inaonekana kama hyo gar yko haibadilishi gear. Clean all gear box wire connector

3.Angalia kama fuel pump inafanya kaz vzur

4. Badilisha Aina ya Petrol. Kwa hyo gar yko unatakuwa uanze kuweka Petrol Super tu na co Unleaded wala premium

Tupe Feedback mkuu kwa msaada kwa wote
 
Sio gari ni Pikipiki, 600cc, 3 cylinders, kama wewe ni mtumiaji wa mjini tu au ni ya mke/mwanamke ni sawa, ila kama watembea sana, we jipange tu ununue kitu cha kueleweka
Kwenye Maelezo yake hajasema hayo
 
Angalia mfumo.Inawezekana kuna shida kwenye control box.Hata gear box ikiwa nzuri kama kuna tatizo ktk control box gari haiwezi kuchanganya
 
Mkuu hii gari bado inasumbua au uliiweka sawa? Tunaomba mrejesho tafadhali
 
Mkuu hii gari bado inasumbua au uliiweka sawa? Tunaomba mrejesho tafadhali
Mkuu ukiona hakuna mrejesho kaa kimya,usikute mtoa mada kashafariki kwa presha passo ni ziraili mwingine hasa kwa sisi tupatao vipesa vya mkopo na kujikwamua kutafuta kipando na kikaanza kero.
 
Gari yakike hiyo, ngoja wanawake waje kukujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…