Passo inakula lita 1 kwa km 9

Cheki koil na nozzle plug pia badilisha. Nna passo yangu kama yako nikiweka full tank naenda 500km kama ni highway. Huwa naenda nayo safari kubwakubwa mwanza dar maranyingi tu
True hata mimi nilikuwa napata coverage hii hii ya 12.5 km per litre hadi 13km per litre.
 
5W30 full thythetic ila ndo lita 1ni 30000
 
Passo 990 cc inakula 15 to 18 km kwa lita, town trip za kwenye mafoleni ni 15 km ukiwa higway na ac 17km bila ac 18 km. Ninaongea haya from experience yangu mwenyewe. Ila zingstia oil sahihi, plug sahihi zile za sindano nafikiri moja inauzwa elf15
 
Passo 990 cc ukiwa safarini inahimili vizuri mkiwa abiria watano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…