Passo inauzwa

Haumanishi mkuu, huwezi kuonyesha kipande cha gari utrgemee wateja, piga picha kila upande
 
Hahahaha hiyo shida yake ni laki 3 tu (ipo na inatembea vizuri) mtu ambae hajui gari anajua ni nzima kabisa lakini kwasababu ni biashara lazima useme ukweli!!!
Ndugu rudi kajipange, biashara haipaswi kufanywa hivyo. Kabla ya kuuza gari nenda kaifanyie services muhimu ifae ili mteja atamani kununua, tena anunue kwa bei nzuri ya soko.
 
Ukitumiwa tangazo na wale car from japan ile gali inakuwa na picha zaid ya 30, yaani kila kona unayona , wanakutajia sifa za ziada kama redio, airbag, sportlim, yaaani unajikuta unashawika kwa tangazo tu, lkn kibongo ameshindwa hata kupiga picha ya ndani watu waone siti livyoisha tuona mataili kipala.weka tangazo livutie wateja
 
Hahahaha 😂😂 hii gari ipo Makumbusho umeambia inauzwa ikiwa hivyo hata Japan ukitaka gari mbovu zipo unanunua tu Ndugu
 
Ndugu rudi kajipange, biashara haipaswi kufanywa hivyo. Kabla ya kuuza gari nenda kaifanyie services muhimu ifae ili mteja atamani kununua, tena anunue kwa bei nzuri ya
unacheka kupoza maumivu ya kukosa
Sisi tunafanya biashara muda mrefu ndugu na hii gari ilikua ya mtoto kwenda shule hata ikikaa mwaka bado sina hasara rafiki!!... Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…