Passo inauzwa

Jamani mnaendeshaje vigari ambavyo wazungu wanatumia kwendea kwenye mazoezi.
Kwendea kwenye mazoezi wakiwa wanaendesha au wanaisukuma? Kama wakiwa wanaendesha sioni shida mana anayenunua inawezekana anaitumia kwenda kazini, sokoni, kanisani, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…