Asante sana kwa muongozo. Actually nimeshaufanyia kazi. [emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu malika123,
Hakikisha Tangazo lako linakidhi Vigezo hivi. Lifanyie maboresho
MWONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo, Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara. Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa kuzingatia vigezo vya kuweka matangazo yao hivyo kupelekea matangazo yao kuondolewa hewani. Vigezo vya...www.jamiiforums.com
Toyota passo
Year: 2005
C.C. 1290
Mileage 43,000
Price 7 m
Contact 0719444553
Ni yamwanadiplomasia. Fully duty paid (ndo mana inaplate number ya njano) amepata post nje ya nchi ndo mana inauzwa. Kaitumia wiki 2 tu. KaribuniView attachment 1300997View attachment 1300998View attachment 1300999View attachment 1301000View attachment 1301001View attachment 1301002
Sent using Jamii Forums mobile app
5M ya nn..