Ni kweli ila wale jamaa wa uhamiaji bila kuwapa kidogo aise utazungushwa mpaka ukome, binafsi nilizungusha kama miezi 3 hivi mfululizo ila siku nilipotoa laki 2 na nusu ndani ya wiki 2 nikapata bila shida. Ukweli ndiyo huo.
Hiyo Pesa ipo,sema tuonane wapi na lini.? Mimi nipo Arusha.Toa laki na nusu,cha msingi finger print unaweza ukaiscan ukanitumia kwenye email ndani ya masaa 24 utakuwa ushapata passport yako,tayarisha na pix kama ulivyoambiwa!
Habari za Jpili.?
Nahitaji kupata passport halali ya kusafiria toka Uhamiaji.Ni mzaliwa wa Tz,na nina cheti Original cha kuzaliwa,halikadhalika wazazi wangu ni watanzania wa kuzaliwa.
Naomba kupata connection ili niweze kupata passport ya kusafiria,najua kuwa zinatolewa Uhamiaji ila nimebanwa na kazi kwa hiyo nahitaji agent wa kunisaidia kupata ila asiwe TAPELI.
Kwa anayeweza kunisaidia kupata awasiliane nami kwa PM au anipe contact zake hapa jukwaani.
Asanteni.!
Hiyo Pesa ipo,sema tuonane wapi na lini.? Mimi nipo Arusha.
Njoo Sillent Inn (Sakina) weka na namba yako ya simu au niPMTuonane Kesho asubuhi Enaboishu shuleni(Home) au kama vp njoo Triple A nisubiri.