Passport kwa ajili ya kusafiri na familia kwenda nchi jirani

Passport kwa ajili ya kusafiri na familia kwenda nchi jirani

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari wanajamvi,

Nina safari ya kwenda nchi jirani wiki ijayo. Nataka kwenda na familia. Binafsi nina passport kubwa (electronic). Sasa mama watoto anahitaji ya kwake (naambiwa siku hizi ni one time use), na nina mchakato wa kumtafutia kesho.

Mtoto ambaye ni chini ya mwaka mmoja inakuaje? Naye anahitaji? Gharama ni zipi (mbili, ya mama na mtoto)?

Nimeangalia website ya uhamiaji sijapata information ya kutosha.

Asante kwa msaada wenu.
 
Back
Top Bottom