Passport na vitambulisho feki.

Passport na vitambulisho feki.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
623
Reaction score
267
Ni kwa jinsi gani watu wamekuwa wakipata passport halali za nchi ambazo wao si raia halali wa nchi hizo.? Tena inakwenda mbali zaidi unakuta passport hizo zina majina tofauti tofauti. Na ni kwa vipi wamekuwa wakifanikiwa kuishi katika mwamvuli wa double identity.? Mfano wa haya tumeona haya kwa majasusi na magaidi mbalimbali.

Kwa mdau mwenye idea naomba atiririke.
 
Cha kwanza kujua ni kuwa 'mharifu' anatumia akili nyingi sana....na pengine angetumia akili hiyo kwa mambo mema ingekuwa safi mno. Ndo sababu karibu kila utakalodhani haliwezekani kwao linawezekana!
 
Good qn... ila hayo yanawezekana mbele sio tz
 
Wahalifu wana akili sana ndio maana mnaijeria mmoja alijifanya ni bubu na akaombewa pasipoti ya Tanzania na mdogo wake 'Massawe' lakin siku anapaa kwenda China aliongea kiingereza cha kinaijeria akadakwa pale JNIA na baadae kuhojiwa na Idara ya Uhamiaji...alinyang'anywa paspoti na sasa ananyea debe Segerea
 
Back
Top Bottom