Ni kwa jinsi gani watu wamekuwa wakipata passport halali za nchi ambazo wao si raia halali wa nchi hizo.? Tena inakwenda mbali zaidi unakuta passport hizo zina majina tofauti tofauti. Na ni kwa vipi wamekuwa wakifanikiwa kuishi katika mwamvuli wa double identity.? Mfano wa haya tumeona haya kwa majasusi na magaidi mbalimbali.
Kwa mdau mwenye idea naomba atiririke.