Passport ya Tanzania ni ya 73 duniani

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
403
Reaction score
545
Kwa mujibu wa 'henley passport index' Passport ya Tanzania kati ya mataifa 219 imeshikilia nafasi ya 73.

Orodha hii inaangalia uhuru wa kusafiri. Ukiwa na passport ya Tanzania mpaka sasa unaweza kusafiri kwenye nchi 70 bila kuhitaji visa au kupata visa pindi tu utakapowasili kwenye nchi husika.

Baadhi ya nchi hizo unaweza kutembelea bila visa au visa on arrival ni Barbados, Antigua, Phillipines, Benin, Fiji, Mauritius, Saint Lucia, Singapore, Indonesia, Saint kitts and Nevis, Namibia, Botswana, Madagascar n.k

Chanzo:
 
Ila wanaweza sogea mpaka kisiwa cha Haiti au Cuba then marekani wanakua wanaiona kwenye darubini.
 
Source pls?
Orodha ya hizo nchi 70 inapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ