Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,Mng,
Naleta hili kwenye meza kuu.................Hivi hawa wenzetu hawa akina mama hujifanya wanatupenda sana hivi kati yao kuna anayethubutu kumpa mpenzi wake Password ya E-mail yake???!!Nijuzeni:banplease::amen:
MMh!!mi naona bora kila mtu awe na yake coz simu yangu tu ni bonge la bomu...siwezi kuiacha ata dakika 2 mbali nami. Na of course raha ya mapenzi kuwepo na siri japo kidogo and I dont mean infidelity ila siri za kazini, sometimes jokes kati yako na wafanyakazi wenzako mwenzi wako anaweza akazitafsiri vibaya ivyo ni lazima usiri uwepo.
Wakuu,Mng,
Naleta hili kwenye meza kuu.................Hivi hawa wenzetu hawa akina mama hujifanya wanatupenda sana hivi kati yao kuna anayethubutu kumpa mpenzi wake Password ya E-mail yake???!!Nijuzeni:banplease::amen:
Kuwa mpenzi wako, sio ndo uingilie kila kitu chake. Lets learn how to respect others privacy.
I'm not getting this, isn't it that when you get married you become one? So where does privacy fit into the equation here? Why do you want privacy from your spouse? What do you have to hide?
To me honesty is the best policy. The only privacy I see in a marital relationship is the privacy of both husband and wife as one item. When you start hiding stuff from your spouse...where are you going to draw the line?
Oh well...I'm glad I'm not married coz it makes absolutely no sense for, say my wife, to hide some stuff from me. I'd dump her in a heartbeat if she were to do that.
U r right nyani,kwanini mfichane siri mke na mume? ni privacy ipi hapa inatakiwa?hata mimi sielewi kwa kweli.naombeni ufafanuzi, ni kipi hapa cha kufichana?
I'm not getting this, isn't it that when you get married you become one? So where does privacy fit into the equation here? Why do you want privacy from your spouse? What do you have to hide?
To me honesty is the best policy. The only privacy I see in a marital relationship is the privacy of both husband and wife as one item. When you start hiding stuff from your spouse...where are you going to draw the line?
Oh well...I'm glad I'm not married coz it makes absolutely no sense for, say my wife, to hide some stuff from me. I'd dump her in a heartbeat if she were to do that.
Tatizo letu wengi hatujui tofauti ya SIRI na PRIVACY. Privacy sio siri, ila ni mambo binafsi yanayomhusu mtu mwenyewe binafsi, na si watu kama wanandoa, marafiki n.k. Kuna mambo ya wanandoa na mambo ya mtu binasfi.
Kama uhusiano ni wa kirafiki i.e. boyfriend-girlfriend, basi hapo nakubaliana na wewe. Lakini kama uhusiano ni wa kindoa hakuna cha privacy wala nini. Mtu anaziona mali (privates) zako kila siku utasemaje kavamia faragha yako?Kitu ambocho ni privacy ni kitu ambacho huwezi gusa bila idhini ya huyo aliyenacho, hata kama ni mpenzi wako au rafiki wa kawaida tu, kuomba idhini yake kunaonyesha kuheshimu uhuru wake, na si kuficha siri. Pia, unapoomba kushika vitu ambavyo ni private, ni muhimu uwe na sababu, sio kuchukua tu!
Sina hakika unazungumzia kadi gani hapa - kitambulisho ama kadi ya benki? Kama unazungumzia kadi ya benki basi unaweza kabisa kutumia kadi ya mwenzako kwenda kuchukulia hela benki. Kinachotakiwa ni wewe kuwa co-cardholder au second card holder. Mnaweza kufungua joint accounts. Mnaweza mkawa ma co-owners wa mali zenu zote mlizo nazo na ndio maana taasisi nyingi zinaruhusu utaratibu wa co-somethings au joint-somethingsUnaweza chukua kitu cha mtu, badala ya kujenga ukabomoa kwasababu mwenza wako anaweza kudhani kuwa pengine humwamini. Kama unataka kusoma SMS kwenye simu yake, ufanye hivyo ukiwa na sababu, vinginevyo huo utakuwa ni wivu tu unakuendesha.
Maana ya kuwa kitu kimoja mume na mke, sio kwamba ndio inaunganisha kila kitu. Je, unaweza kutumia kadi ya mkeo kwenda kuchukua hela benki? Hata kama una cheti cha ndoa, hawatakupa hizo hela, labda kama kutakuwa na documents alizokuruhusu kisheria uwe na access kwenye account yake. Hilo tu ni tosha kukuonyesha kuwa, kwa sababu umemuoa haimaainishi mnakuwa kitu kimoja kwa "maana ambayo nyie mnadhani".
Haya bana...labda kwenye mji wako hivyo ndivyo mambo jinsi yalivyoMnakuwa kitu kimoja kwenye baadhi ya vitu. mfano watoto wote wanakuwa ni wa kwenu, mnalala kitanda kimoja na kumiliki vitu pamoja, na mtakuwa mnatambulika kama familia moja n.k. Lakini bado kutakuwa na mipaka ya nini uguse na nini usiguse. Privacy, bado inakuwepo pale pale.
Hiyo ni kuendeleza mila za kipumbavu. Mimi nataka mke wangu anieleze kila kitu. I am her confidant and soul mate. If she can't tell me anything and everything then whole foundation of that relationship is shakyWaulize wasichana watakuambia. Kimaadili, kuna mambo ambayo hawaruhusiwi kukueleza hata kama wewe ni mume wake, ila kuwa watu ambao anashauriwa kuwaeleza, mfano shangazi, mama, n.k. Ukianzisha thread hapa, watakueleza ni mambo gani ambayo kama mume wake haruhusiwi kukwambia. Je, hii ni kuficha siri pia?
Not really. As a matter of fact, in many instances the words privacy and secrecy are interchangeable. Check the third entry of the word 'privacy' from the Merriam-Webster dictionary...."3 a : secrecy b : a private matter : secret" Source: Dictionary and Thesaurus - Merriam-Webster OnlineNarudia tena, kuna tofauti kati ya PRIVACY na SIRI. Na kuwa mkeo, sio kwamba ndo ushikeshike kila kitu chake!
Well said I share the same thought!!! just to add huwezi kuishi na mtu kwa raha kama una doubts or trust issues... this is one of few things I cant tolerate..halafu mie naona hii ya kuoana na kuwa moja never work with me.... it is much easier and safer to be two instead of one...Uhusiano wa ndoa au mapenzi haumaanishi mtu anakoma kuwa an individual.Sometimes you need your space siyo lazima kila kitu kiwe wazi kwa mwenzio hadi awe na password zako!
Labda tujiulize maana ya mtu kuwa na passoword ni nini. Password siyo tu kuficha mambo ya mapenzi kuna mambo mengine hayahusiani na mapenzi kabisa na hayatakiwi mwenzako
Wapenzi ndio usiseme! Mpenzi ni mtu temporary kwanini ujiweke kwenye jeopardy? Ndio maana hata sheria inatambua kuwa mke/mume anaweza kumuibia mwenziwe! Tuangalie jambo hili kwa mapana yake.