msimamo wangu juu ya P /W....linapokuja swala la password ,sijui nini..kwanza kwa mie Binafsi sijihusishi na simu wala emails zake na wala hatanisikia hata siku moja eti sweet naomba password yako ya nini?Kwa hiyo basi yangu pia haimuhusu..
Labda tufungue email ya pamoja kama anahitaji sana ushirikiano
unaogopa nn besti????

Siogopi Bht huu ni uhuru wangu ndio maana niliifungua mie binafsi sikumuomba anifunguliena ikawa na jina langu na nikaweka PW kama mimi ..kwa hiyo basi yeye haimuhusu wala sioni umuhimu wa yeye ..kwani anataka kunisaidia kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki....amekuwa PS :A S 39: