Password

Password

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,100
Nilikuwa nawaza hapa, ni password na namba ngapi nimezikariri mpaka nikajiogopa! Hizi hapa ni password;
Bank; CRDB, NBC,NMB
M-Pesa, Airtel Money
Password ya laptop, gmail, hotmail, yahoo, facebook, twitter, Jamii Forums
Na nyingine nimesahau....

Hizi ni namba ambazo nazo natakiwa kuzikariri pia;
Namba za simu; Airtel, Vodacom .........bado za modem, Airtel na Vodacom.
Namba za account za Benki; CRDB, NBC na TPB
Bado kuna namba nyingine kama za account ya DSTV na nyingine kibaooo!

Bado kuna zile namba za simu ambazo lazima uzikariri la sivyo una hatari........

Kha kichwa cha binadamu ni noma
 
Ukiseti tu ubongo wako, wala hayatakusumbua hayo mapasiwedi! Mbona ni robo tu ya nilizonazo mimi? Nothing is impossible to the willing heart M'Jr!
 
Last edited by a moderator:
Natumia strong password mbili tu, moja ya kwenye mitandao i.e E_mail, Jf, fb etc. Ya pili ya kwenye mambo ya Pesa, i.e M_pesa, tigo pesa na bank account.
 
Ukiseti tu ubongo wako, wala hayatakusumbua hayo mapasiwedi! Mbona ni robo tu ya nilizonazo mimi? Nothing is impossible to the willing heart M'Jr!
Hivi hii pia ina uhusiano na heart eeh? Mi nilifikiri ni ubongo tu
 
Natumia strong password mbili tu, moja ya kwenye mitandao i.e E_mail, Jf, fb etc. Ya pili ya kwenye mambo ya Pesa, i.e M_pesa, tigo pesa na bank account.
Dah mkuu, mi kila moja ina ya kwake tofauti yaani in short nikifa ghafla mtu hachukui kitu popote
 
Ubongo wa mwanadamu ndio mashine pekee yenye uwezo mkubwa katika jamii za mashine...sasa wingi wa namba au tarakimu za hayo maneno siri "password" wala yasikuzuzue
 
naona mheshimiwa karudi aliaga anaama jukwaa
Nilisema ntakuwa napita mara moja moja kuwapa hi kama hivi........au ndio hamnitaki tena hapa baada ya kupata watu wapya? Nimeona wengine sijui wazaire wale?
 
Passwords za bank wala hazina umuhimu kwangu manake sina salio. Za simu nazo naweka mwaka niliokutana na Paw.
 
Natumia strong password mbili tu, moja ya kwenye mitandao i.e E_mail, Jf, fb etc. Ya pili ya kwenye mambo ya Pesa, i.e M_pesa, tigo pesa na bank account.

kama mimi vile yaani tena nimechakachua zile za banka ndo natumia kwa mpesa tigo
nyingine ya mitandaoni kisha cha ubongo kujaa ni nini?
Akuuuuu
 
Back
Top Bottom