Past papers

digodigo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
311
Reaction score
254
Tafadhalini wana JF naombeni yeyote anayefahamu zinapoweza kupatikana past papers za kumaliza darasa la saba anisaidie nazihitaji sana.
 
Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, kwa kawaida karatasi za maswali ya mtihani wa Std VII mjibu huandikwa humo humo pia. Kama ndivyo huwezi kuzipata sababu kwa kawaida huwa marked scripts hazirudishwi mashuleni.
 
Wakuu msaada wa past papers za darasa la saba za 2010, 11 na 12 mwenye nazo anipm tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…