TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

Tusiogope Watanzania wanaozaliwa ni wengi mno, kufuatia maboresho huduma za afya ,chanjo, elimu bure ,hamasa kuzaliana. Shida ni kupoteza wapambanaji, japo kwa wazee above 80...( Life span 60...yrs) wapumzike kwa amani , kunapunguza garama kuwatunza nk.
 
Kovu la D naona sasa linatupa makovu kweli kweli.

Unajua mambo ya umoja na vyama kuna mmoja alikwenda Kagera kurudi akaja na mafua makali na kifua si muda kamuondoa mumewe baada ya watu kuja msibani kesho mwana umoja kafa.

Sasa sijui nani anafuata na wote kifua kilichowaondoa
 
Wakuu mmetishwa nini na kuminywa kubana Tanzia? Na hata ikiletwa mmeonywa msiruhusu Tanzia isiwe nyekundu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…