Pastor Doug batchelor moja Kati ya wahubiri wanaomjua MUNGU sana

Pastor Doug batchelor moja Kati ya wahubiri wanaomjua MUNGU sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kazaliwa Marekani Ana miaka 64 Ni muAdventist Ni mwandishi mzuri sana sio kwamba nampigia promo,hapana isipokuwa mahubiri yake yamenivutia Sana hasa katika program yake ya amazing facts show kaitafute katika YouTube channel yake utajionea.

Nina mengi ya kumsemea lakini nisikuchoshe wewe kama utahitaji biography yake nenda Wikipedia Ila Kama unataka mahubiri yake Basi tafuta vipindi vyake Bible answers live n.k...vitabu vyake Ni Kama vile to see the king,at Jesus feet,how to survive and thrive in church n.k

1622360401250.png

 
Hakuna mwanadamu anayemjua Mungu vizur , wote ni wabahatishaji tuu
Ajamuongelea mungu kasema jinsi alivyomtamu kuichambua bible wewe kinakuuma nini ok basi baki na mungu wako itapendeza
 
Ajamuongelea mungu kasema jinsi alivyomtamu kuichambua bible wewe kinakuuma nini ok basi baki na mungu wako itapendeza
Amebadilisha content , mi nimejibu Ile ya Kwanza ....!!
 
Kama unaona din haikuhusu kwanini usikae kimya kilaza wewe??pambana na imani yako itapendeza
Hata Yesu alikiwa akisisitiza imani yako imekuponya.
Sasa ndugu mambo ya kuitana kilaza yametokea wapi Tena? Au ndio huo upendo wenyewe wa kumpenda jirani yako Kama nafsi yako?
 
Back
Top Bottom