Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,286 Reaction score 4,523 Oct 12, 2010 #1 Huyu jamaa haumi umi maneno msikilize kuanzia dakika ya 4! mauwaji ya waislam na CCM Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Oct 12, 2010 #2 Watu wa Mungu wana maono ya kutoka kwa Yule Aliyejuu na tuwasikilize vyema na kufuata maelekezo yao kama tunataka sisi na vizazi vijavyo kuishi kwa raha mustarehe
Watu wa Mungu wana maono ya kutoka kwa Yule Aliyejuu na tuwasikilize vyema na kufuata maelekezo yao kama tunataka sisi na vizazi vijavyo kuishi kwa raha mustarehe