Pasua kichwa..? Jipime na hili game.

2+6+1+2+2+0+1+7=21
Fanya 2+1=

2 home team
1Away team

Hapo maana yake
Kwa Alphabet 1=A
2=B
Kwa maana nyingine
Wenye majina yalio anza na B na yako HomeGround yatapa ushindi
Na away team yatapoteza

2+1=3
Namba ni Witiri haigawanyiki kwa 2 kwa maana hiyo hakuna draw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…