INAUZWA Pata airfresh zinazo tumia betri ina jispary yenyewe

Weka na bei basi ilitujue kama tuna zimudu.
 
Mbona unaleta habari nusu nusu weka bei hauko serious na biashara yako..
 
Ww unadhani ni bidhaa mpya hapa eeeh...leta bei tufananishe na wenzako waliopita.
 
Na ikishaisha huo mtungi wa airfresh unajaza kama gesi au?
 
Zinapatikana pia ktk Supermarkets nyingi
Mlimani City lile duka/ supermarket ya katikati na mwishoni kabisa kulia
Shoppers Plaza n.k

Refills pia zipo.

Mimi natafuta za Glade (Sense & Spray) - nimetafuta Bongo

NOTE: Glade za kawaida zipo.
Mimi natafuta za Automatic lakini pia zinazo-spray mtu akipita karibu.

Google that!


atupe jibu hapo kama haiwezekani basi haifai kutumiwa
kana
 
Glade Nenda tsn supermarket yeyote...!
 
Glade Nenda tsn supermarket yeyote...!

Glade Sense & Spray - TSN wanayo?
NOTE: Achana na hizi automatic spray ambazo unaweza ku-set i-spray namna gani (frequency, number of days per week, number of hour per day n.k) - hizo ninazo.
Nahitaji zile za Glade zinazo-spray mtu anapopita karibu tu, asipopita mtu karibu no spray...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…