sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,554
- 868
Mkuu zinakuwa na rangi tofauti hii ni kutokana na giografia ya eneo na aina ya maua ya eneo husikaAsali mbichi ina rangi ya hivo? Au mi ndo sijui
Oooh ahsanteMkuu zinakuwa na rangi tofauti hii ni kutokana na giografia ya eneo na aina ya maua ya eneo husika
Kwa mfano asali ya Tabora,Singida na Kigoma ni tofauti kwa rangi kutokana na maua Nyuki wanayokuwa wanayatumia kutengenezea asali Karibu sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asali mbichi ni asali ambayo inapo rinwa kwenye mzinga haichanganywi na kitu chochote mkuu na inakuwa nzuri kwa ajili ya kutengenezea dawa mbali mbali kwa mfano dawa ya kikohozi na pumuAsali mbichi maana yake nini?

Tupo mwanza na Tabora ila mikoani tunawatumia makobdacta walio waaminifu na mzigo utakufikia ukiwa sawa kabisa mkuu bila ya matatizo yoyote lengo letu ni kukupatia asali iliyombichi na kujenga uaminifu katika biashara na siyo kuchua hela yako tu mkuu karibu sanaMpo wapi
Zanzibar tuna kijana wetu ambaye tuna mtumia mzigo na atakufikishia popote pale ulipohapa zanzibar mko maeneo gan?