Pata asali mbichi kwa gharama nafuu kabisa

Pata asali mbichi kabisa ambayo ni pure pia haijachanganywa na kitu chochote karibuni sana wakuu
 
Wakuu asali mbichi kabisa ambayo ni pure pia haijachanganywa na kitu chochote karibuni sana wakuu na tuna tuma kwenye mabasi mikoani kote karibuni sana

Karibu sana wakuu
 
Pata asali iliyo mbichi kabisa ambayo ni pure na haijachanganywa na kitu chochote





Karibuni sana wakuu
Na Ahsante Sana
Piga 0766-195115
 
Wakuu asali iliyo mbichi kabisa ambayo ni pure pia haijachanganywa na kitu chochote inapatikana katika ujazo tofauti tofauti mikoani tuna tuma kwa usafiri wa mabasi karibuni sana wakuu



Karibuni sana wakuu
 
Wakuu asali iliyo mbichi kabisa ambayo ni pure pia haijachanganywa na kitu chochote inapatikana na tuna tuma kwa basi kwa watu walioko mikoani

Karibuni sana wakuu
 
Karibu sana wakuu kwa asali bora kabisa na iliyo mbichi kabisa ambayo haijachanganywa na kitu chochote karibuni sana wakuu

Piga 0766-195115
Kwa mawasiliano zaidi
 
Wahi sasa tukutumie asali iliyo mbichi kabisa ambayo haijachanganywa na kitu chochote popote pale ulipo Tanzania bara na Zanzibar karibu sana wakuu
 
Uzi mzima unakarbisha watu na picha tu za asali....huwek waz hyo bei rahis n bei gan....asali kutoka mkoa gan.....location ya biashara n ipi.....watu wa nje ya location yako watapataje ikiwa watahitaj......any way n biashara yako bhana!! Endelea kuwakarbisha!!
 
Mkuu wateja hawaji nini!! Maana uzi mzima naona unacomment wewe tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Matangazo ya biashara jf huwa yananichekesha kweli, sijui wanapenda kuulizwa ulizwa!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Matangazo ya biashara jf huwa yananichekesha kweli, sijui wanapenda kuulizwa ulizwa!!
Isipouzika anaanza kuhisi kuna mtu kamroga!! Natania tu!! Ila kuna haja ya kuwa na userious katka hizi biashara za ujasiriamal tunazofanya......weka full details katka mtindo ambao utamfanya mtu avutiwe na biashara yako......
 
Isipouzika anaanza kuhisi kuna mtu kamroga!! Natania tu!! Ila kuna haja ya kuwa na userious katka hizi biashara za ujasiriamal tunazofanya......weka full details katka mtindo ambao utamfanya mtu avutiwe na biashara yako......
Kweli kabisa,nafikiri wajasiriamali wengi wanahitaji elimu hiyo.
 
Ahsante sana naona ujasoma vizuri tokea Mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…