Pata Asali ya nyuki wa kubwa

Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
1,744
Reaction score
3,020
Habari

Nauza Asali mbichi ya nyuki wakubwa kwa jumla na rejareja,
Asali hii sio ile ya kupika jamani niwaahidi hilo

Asali ina faida nyingi sana kwenye mwili wa binaadam kwa uchache tu

*Huondoa sumu mwilini
*Husaidia haraka jeraha kupona
*Kupunguza uzito
*Kuleta afuweni kwenye kikohozi
*Kuongeza vitamin C na madini
*Kuongeza kumbukumbu

Napatikana Dar es Salaam ila popote unatumiwa

Bei ya rejareja
1ltr 14,000
½ 7000

Bei ya Jumla 11,500 kuanzia 5ltr
Jamani afya ni muhimu
Karibuni saaaana
 

Attachments

  • IMG_20231120_105004_473.jpg
    68.2 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…