Mkuu karibu sana, nitafute kwenye mojawapo ya hizo namba hapo juu tupange jinsi ya kuonana.Mkuu naweza kuiona vipi?
Mkuu hiyo bei ni ndogo sana, Ongeza fedha tuongee vizuri. Nakuhakikishia huu mzigo ukiuchukua hutajilaumu, kitu kiko bomba sana tu.Jitahidi kuweka picha, mimi nahitaji bajaji nipo njombe kama bado ina maisha nitakupa 2500000 je unakula hiyo cash? Ila tushawishi kwa kuweka picha.
Mkuu hii kitu bado iko safi kabisa, kinachonifanya niiuze, ni kuwa nimeamua kufanya uwekezaji kwenye biashara nyingine tofauti na hii,.Imeshawahi kupata ajali nini au umiza kichwa ya madereva imekuzingua? Nina madereva wazuri kwa nini usinipe tuwekeane mkataba nisimamie uletewe hesabu mpaka hiyo 3.5 ifike kisha iwe yangu? Kwa kufanya hivyo utanisaidia na mimi nimiliki chombo kama avatar yangu inavyoomba
Mkuu nimeku-PM, kuhusu picha nitajitahidi kama nitafanikwa next time ukiingia utakutana nazo.Nipe kwa 2.5m, halafu weka picha.........so far ina tatizo gani..........PM please