Kama mna kituo Dar kwa nini msiweke hapo kituoni mizigo ya kutosha ili iwe rahisi kwa wateja kuweka uaminifu zaidi mkuu...?
Kwa wale wa rejareja kama kilo 2,5,10,zipo tyr kwa dar,unalipa unapewa huduma hapohapo
Mimi niliagiza kilo 2 mpk leo cjapata...nkajitolea mpk hela ya delivery lkn kimya....hampo serious kabiisaa
Ujanja wako wote miaka [emoji817] jf hujui chia seeds [emoji2][emoji2]Hizo chia unatafuna kama karanga? Au unapika kama maharage?